1
Fungua tovuti
Nenda www.mnadapoa.co.tz kutoka kwenye kivinjari cha simu yako au kompyuta.
2
Chagua mnada unaoendelea
Kutoka kwenye orodha ya bidhaa, chagua ile unayoipenda zaidi na uwe na uhakika muda wa kufunga bado upo.
3
Ingia au Jisajili
Kama ni mara yako ya kwanza, bonyeza "Ingia" na weka namba ya simu kupokea OTP. Kisha weka dau lako:
- Kiasi ni kati ya TZS 500 hadi 10,000 — chagua namba unayofikiri itakuwa ndogo na ya kipekee, mfano: 506, 509, 511, 629, 818.
- Ni muhimu uangalie sehemu ya "madau yasiyo ya kipekee" kabla ya kuweka dau lako, ili uone namba ambazo watu wengine tayari wamezitumia — hii inakusaidia kuchagua namba dogo na ya kipekee.
4
Pokea SMS ya uthibitisho
Utapokea ujumbe wa uthibitisho wa dau lako. Kama dau lako ni la kipekee utajulishwa; kama si la kipekee, utapewa majibu ili ujaribu tena.
5
Fuatilia dau lako
Iwapo mshiriki mwingine ataweka dau sawa na lako, utajulishwa kuwa dau lako si la kipekee tena — hivyo weka dau jingine kabla mnada haujafunga.
6
Shinda
Ili ushinde, dau lako linatakiwa liwe dogo na la kipekee — na liendelee kuwa hivyo hadi mnada unapofungwa.