Kuhusu sisi

Mnada unaokupa nafasi halisi ya kushinda.

Fahamu jinsi Mnada Poa inavyofanya kazi na kwa nini dau lako dogo linaweza kukupatia bidhaa kubwa.

Mnada Poa ni mnada unaoendeshwa mtandaoni. Mshiriki anaweza kushiriki kupitia simu yake ya mkononi kwa kuweka dau dogo na la kipekee kuanzia shilingi 500. Kwa dau hilo mshiriki anaweza kushinda bidhaa kama TV, bodaboda, friji, redio hadi gari — kama itakuwa kwenye mnada wa siku hiyo.

Kiasi cha kushiriki Mnada Poa ni shilingi 1,000 na dau lako la kuanzia shilingi 500 ambayo ni kumbukumbu namba.

Ili kushinda mnada, dau lako linatakiwa liwe dogo na la kipekee mpaka mnada unapofungwa unakuwa mshindi. Kama dau lako litakuwa si dogo na la kipekee, utapokea ujumbe; na kama dau lako ni dogo na la kipekee, pia utapokea ujumbe.

Ni nani anayeweza kushiriki?

Mshiriki yeyote mwenye umri wa miaka 18 na kuendelea, mwenye namba ya simu iliyothibitishwa, anaweza kujiunga na kushiriki mnada wowote unaoendelea kwenye tovuti yetu.

Kwa nini Mnada Poa?

Dau la kuanzia TZS 500 pekee, mchakato wa kuweka dau ni wa haraka na wa uwazi — unaona papo hapo kama namba uliyoweka ni ya kipekee, na tunatuma SMS ya uthibitisho kwa kila hatua.